Headlines News :
Home » » Alichokisema Linah baada ya kusambaa kwa maneno kwamba amebakwa baada ya kulewa

Alichokisema Linah baada ya kusambaa kwa maneno kwamba amebakwa baada ya kulewa

Written By Harold tz on Sunday, July 21, 2013 | 6:54 PM

Kuna habari ambazo zinaenea kuhusu msanii kutoka Tanzania House of Talent, Estelinah Sanga maarufu kama Linah kwamba akiwa kwenye starehe usiku alilewa na kubakwa. Millardayo.com imeongea na Linah mwenyewe na alikuwa na maneno machache ya kusema kama hivi, “Sio kweli kabisa ni maneno tu hayo, kuthibitisha hilo ni kwamba siku ya tatu leo sijatoka usiku na hayo maneo yanasemwa kwamba nililewa usiku”
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Follow by Email

Followers

Popular Posts

MUZIKI

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. BURUDANI - All Rights Reserved
Design by SWAHILICLANHD COMPANYSWAGA ZANGU